Isaiah 48:20


20 aTokeni huko Babeli,
kimbieni kutoka kwa Wakaldayo!
Tangazeni hili kwa kelele za shangwe
na kulihubiri.
Lipelekeni mpaka miisho ya dunia;
semeni, “Bwana amemkomboa
mtumishi wake Yakobo.”
Copyright information for SwhNEN